Friday, June 19, 2009



haya ndio maisha halisi ya mtanzania hiki ni kijiji cha mtombozi tanznia watoto hawajawahi kuona umeme tokea wamezaliwa

1 comment:

  1. Ni kweli. Wengi hawajaona Umeme lakini nashukuru kuwa wana upendo. Kwa wale waishio nje ya nchi wanaweza kuona kuwa umeme unaweza kuwa sumu kama hakuna upendo katika jamii. Lakini pia viongozi wetu wanastahili kuangalia upya ahadi zao na kuangalia kipi cha kufanya lini iwe kiwe nini.
    Karibu JAMVINI dada, karibu katika ulimwengu wa ku-chat na tushirikiane.
    Pamoja Daima

    ReplyDelete