Ni kweli. Wengi hawajaona Umeme lakini nashukuru kuwa wana upendo. Kwa wale waishio nje ya nchi wanaweza kuona kuwa umeme unaweza kuwa sumu kama hakuna upendo katika jamii. Lakini pia viongozi wetu wanastahili kuangalia upya ahadi zao na kuangalia kipi cha kufanya lini iwe kiwe nini. Karibu JAMVINI dada, karibu katika ulimwengu wa ku-chat na tushirikiane. Pamoja Daima
Ni kweli. Wengi hawajaona Umeme lakini nashukuru kuwa wana upendo. Kwa wale waishio nje ya nchi wanaweza kuona kuwa umeme unaweza kuwa sumu kama hakuna upendo katika jamii. Lakini pia viongozi wetu wanastahili kuangalia upya ahadi zao na kuangalia kipi cha kufanya lini iwe kiwe nini.
ReplyDeleteKaribu JAMVINI dada, karibu katika ulimwengu wa ku-chat na tushirikiane.
Pamoja Daima